Mwendo wa haraka wa namba E basi no F soon

Mwendo wa haraka wa namba E basi no F soon

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,082
Reaction score
2,402
Sasa hivi tuko EC ni mwendo mputa mputa, je makadirio yako no F tunafika mwaka gani, mana wabongo kwa kuchagua namba hatujambo Tuombe uhai
 
Tusio na magari wala historia ya kuendesha vyombo vya moto huu uzi utupite kimya kimya wala tusikomenti chochote zaid ya hili onyo hapa nililowaandikia watembea kwa miguu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuanzia kesho nami nitaanza kukariri namba za daladala ninazopanda nione zinavyoenda kasi kwenye usajili
 
Tangu "Mama" ashike hatamu na watu kuruhusiwa kula kwa urefu wa kamba, mambo ya usafiri yako kasi sana.

Mama amefungua nchi kama chupa ya Coka " tchziiiiiiiiiiii!!"

Hongera kwa uchumi wa royal tour.
 
Tangu "Mama" ashike hatamu na watu kuruhusiwa kula kwa urefu wa kamba, mambo ya usafiri yako kasi sana.

Mama amefungua nchi kama chupa ya Coka " tchziiiiiiiiiiii!!"

Hongera kwa uchumi wa royal tour.
Wapiga zumari katika ubora wao. Bado watu wana mawazo kuwa nchi hii matajori wote ni mafisadi....
 
Sasa hivi tuko EC ni mwendo mputa mputa, je makadirio yako no F tunafika mwaka gani, mana wabongo kwa kuchagua namba hatujambo Tuombe uhai

Now tupo ECQ [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Watu wanasajili kwa kasi ya ajabu

Kwa makadirio kila week ni herufi 2

So kutoka Q-R-S-T-U-V-W-X-Y-Z ni week 5 tu

Then tutaingia…….. EDA…..[emoji3544]
 
Back
Top Bottom