Wapiga zumari katika ubora wao. Bado watu wana mawazo kuwa nchi hii matajori wote ni mafisadi....Tangu "Mama" ashike hatamu na watu kuruhusiwa kula kwa urefu wa kamba, mambo ya usafiri yako kasi sana.
Mama amefungua nchi kama chupa ya Coka " tchziiiiiiiiiiii!!"
Hongera kwa uchumi wa royal tour.
F Vilaza😅😅😅Sasa hivi tuko EC ni mwendo mputa mputa, je makadirio yako no F tunafika mwaka gani, mana wabongo kwa kuchagua namba hatujambo Tuombe uhai
Sasa hivi tuko EC ni mwendo mputa mputa, je makadirio yako no F tunafika mwaka gani, mana wabongo kwa kuchagua namba hatujambo Tuombe uhai