Mwendo wakunyata, waumini wakiondoka Kwa ulinzi wa polisi

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Muda huu, waumini wa Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM) Ubungo Kibo wameanza kutoka baada ya kumaliza ibada kwa utulivu, huku polisi wakiendelea kusimamia usalama bila kuwabugudhi wala kuwazuia waumini hao. Hali ya eneo hilo inaendelea kuwa shwari.
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa mwendo wa poleee.. Mbele tembea!
 
Wamtumainio Bwana ni Kama Mlima Sayuni. Hawatatikisika
 
Mbona Wales was Gwajima wanapigwa virungu!!?au wao wanamwabudu shetani!!?

Lazima ni tick October tu!

KAZI na utu tunasonga mbele!!
 
Vipi kulikuwa na taarifa za ki intelijensia kuwa wanaweza kufanya vurugu?
 
Kuna tatizo gani hapo kanisani kujazwa askari!
 
Tafsiri ya jambo hili ni nini?

Ni kudumisha Amani au kuilinda Amani kwa silaha na nguvu za kijeshi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…