A
Anonymous
Guest
Mimi ni mdau mzuri wa mwendokasi kutoka Kibaha Stendi hadi mjini Posta, nimesikitishwa sana kuona huduma hii kusitishwa bila notisi wala matangazo rasmi (huenda yalikwepo ila mimi sijayaona).
Kwa bahati mbaya hakuna mwenye majibu ya kuridhisha juu ya kusitishwa kwa huduma hii, natamani kusikia kutoka kwa wahusika DART / UDART / LATRA n.k
Anyway:
Watanzania wenzangu, Wana-Pwani na Wapiga kura wenzangu tumesitishiwa huduma ya usafiri... Tuanzie wapi kuyawasilisha haya?