matokeotz Member Joined Nov 30, 2016 Posts 30 Reaction score 10 Jan 21, 2020 #1 Nimekuwa nawaza kuweka App ambayo itasaidia watumiaji wa mwendokasi kujua gari liko wapi, ila sijui hata kama wanao hizo data, na kama wanazo mtu napataje hizo data? Mchango wowote unakaribishwa
Nimekuwa nawaza kuweka App ambayo itasaidia watumiaji wa mwendokasi kujua gari liko wapi, ila sijui hata kama wanao hizo data, na kama wanazo mtu napataje hizo data? Mchango wowote unakaribishwa