Mwendokasi katika ununuzi wa ndege!!

muzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,041
Reaction score
1,457
Nimpongeze sana mkuu wa nchi kwa mapinduzi anayokuja nayo kwa maslahi ya nchi. Lakini unapofanya jambo la kitaifa ni vizuri kufikiria mara mbili ili usilete AIBU. Ni vizuri kufanya jambo na maamuzi ya KISASA na ENDELEVU hata kupata reputation kwa nchi jirani kwamba umefanya jambo la kiume. Ni vizuri kufanya reseach ndogo kwa majirani na wengine wanavyofanya hizo biashara, pia ni vizuri kupima na kukubali ushauri kwa wataalamu wa sekta husika. Kama walivyosema wadau wengi (pamoja na waziri alitumbuliwa) siku za nyuma kukuru kakara ya kununua hii ndege wamefikira hatua moja, pia yaonekana walikuwa wanamkomoa mtu fulani hivi, hii ni kwasababu wamenunua ndege ya OLD Technology ya mapanga shwaa ya Bombadier Q400.

Pili efficiency and effectiveness ya hii ndege sio sustainable, kwa model yake wataaalamu wanasema baada ya muda cost of operation and management itakuwa huge. Mbaya zaidi vifaa vya ndege hii huuzwa ghali sababu ya transisation ya technology to Boeing AIR technology.

Tatu kuna mdororo wa uchumi kwa sasa hapa Tz, kitu ambaccho wanauchumi na wadau wakubwa wa sekta ya kifedha wanaogopa kuzungumzia kwa sababu mbalimbali. Hii pia imeadhiri biashara ya sekta ya anga. Mfano mzuri Fastjet wametangaza kupunguza wafanyakazi na pia kubadilisha hizi ndege za boieng 73...ili walete ndogo. Hii ni kwasababu ya kupungua kwa abiria as a result of poor money circulation in the economy. Hii pia imemwadhiri sana Precision Air, hapo juzi kati alikuwa na hali mbaya mbaya sana kwenye masoko ya HISA.

Pia kuna upinzani kwenye biashara ya domestically na internationally so wajipange na si kukurupuka

USHAURI WA BURE:

Hope serikali hapa itakuwa sikivu ku-stabilize kwanza domestic market kabla ya kwenda nje. Pia waangalie KQ walifanikiwa kuwa na ndege nyingi na coverage kubwa kwa mfumo wa SKY PARTNERSHIP with international flight



 
" Halafu wataalamu wanasema"..Nilijua wewe ndo mtaalamu teh teh. Halafu KQ inakula loss sasa hivi na hizo ndege zao unalijua hilo? Ishu si ndege ishu ni uongozi kama asemavyo mwanakijiji. Unahitajika uongozi wenye uwezo wa kuona mbali ili kukabiliana na ushindanii..Kuwa na national carrier ni pride na inaweza kuwa na manufaa zaidi kwenye upande wa utalii.
 
Washauri hamna kazi zingine za kufanya...kila mtu siku hz amekuashauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…