heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Nafikiri anytime soon matumizi ya kadi yataanza ktk vituo vya mwendokasi,je elimu imetolewa? Huduma si mpya japo kutakuwa na maboresho kadha wa kadha.
Nasikia kadi itakuwa inauzwa 5k iyo ni bado hujajaza nauli, je ufanisi wa mashine kuscan upoje ili kutosababisha msongamano wa watu kituoni
Waje kutoa mwongozo ao Udart na Dart je tutaendelea kukaa kituoni zaid ya masaa mawili matatu, kama wameamua kufanya marekebisho basi wafanye katika mfumo mzima watu angalau tufurahie huduma sio wao tu kufurahia kukusanya mapato
Wasalamm