heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Hapana kadi ni mpyaNa kadi za zamani zitatumika?
Hivi tatizo la Mradi wa Mwendokasi ni matumizi ya Kadi katika kulipa nauli au msongamano mkubwa wa abiria kwenye vituo vyake?Nafikiri anytime soon matumizi ya kadi yataanza ktk vituo vya mwendokasi,je elimu imetolewa? Huduma si mpya japo kutakuwa na maboresho kadha wa kadha.
Nasikia kadi itakuwa inauzwa 5k iyo ni bado hujajaza nauli, je ufanisi wa mashine kuscan upoje ili kutosababisha msongamano wa watu kituoni
Waje kutoa mwongozo ao Udart na Dart je tutaendelea kukaa kituoni zaid ya masaa mawili matatu, kama wameamua kufanya marekebisho basi wafanye katika mfumo mzima watu angalau tufurahie huduma sio wao tu kufurahia kukusanya mapato
Wasalamm
Wanatakiwa wafanye maboresho koteHivi tatizo la Mradi wa Mwendokasi ni matumizi ya Kadi katika kulipa nauli au msongamano mkubwa wa abiria kwenye vituo vyake?
Hiyo Kadi itawezaje kuondoa msongamano wa Watu kwenye vituo vya mabasi na ndani ya mabasi yenyewe? Je, Kadi hiyo itaweza kuongeza idadi ya mabasi ya kusafirisha abiria??