kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
DART Mwendokasi kuishia Boko hapo serikali imechemka ilipaswa ifike Bunju mwisho
Kwakweli serikali yetu imechemka kwenye hili maana baadae watakuja tena itabidi waje kuongeza
Ilipaswa mwendokasi ifike Bunju Mwisho pale sio mambo ya kuishia Boko halafu baadae mje tena kusema mtaongeza tena hadi bunju hapo mtawapa tena wananchi kazi ya kuwabomolea miundombinu yao bora sasa ingejengwa hadi bunju mjuwe mmemaliza.
Watasema hawana fedha, wakati mapesa ya kujenga mashule ya uviko na kununua mandege mnayo.
Kama mnaweza kutumia bilioni 555 kununulia magari kila mwaka, bilioni 340 za mabango ya kumsifi mama kila mahali, bilioni 100 mnazodai eti ni ruzuku ya kupunguza mafuta ya petrol kila mwezi, mnakosa vipi hela za kumalizia mradi ufike Bunju?
Kama ambavyo huu mradi unafika Rangi3, kibaha ulipaswa ufike hadi Bunju pia