Mwendokasi kuishia Boko hapo Serikali imechemka, ilipaswa ifike Bunju mwisho


Riziki Mafungu saba mkuu,kama ipo ipo tu...zikiishia Mwandege mtapata route za kwenda kimanzichana,bungu,kisele etc
 
DART Mwendokasi >.....

Kama ambavyo huu mradi unafika Rangi3, kibaha ulipaswa ufike hadi Bunju pia
Rangi3 pale pia wamechemka Kongowe ndio ingefaa. Miundo mbinu ya kutoka pale kwenda Kongowe na Chamanzi ni single road; foleni foleni.
Pili kufika Bunju sio hoja, hoja ilitakiwa wajenge road ingine kabisa hii Bagamoyo ibaki kama ilivyo. Kwa sasa ipo vizuri; kinachofuate inabomolewa na kujengea upya na mwenfpkasi, hili nalo litazamwe
 
Ilifaa ifike vikindu sema akili za CCM Zipo Kwa mtk
 
kumbe tatizo si miundombinu bali ni uendeshaji wa mradi huona kama umerusha jiwe sipo?kwa maana hata zikiwa train watu si wale wale watanzania?
Train inabeba watu wengi zaidi kwa pamoja na uendeshaji wake ni rahis kuliko mwendokasi.uendeshaji wa mwendokasi umekuwa mbovu kwa sababu wanatumia magari machache kwa kuwabananisha ili kubana matumizi.vilevile muda hauzingatiwi kwa lengo la kusubiri abria ili wawe wengi wawabananishe .Ingekuwa train hii kero isingekuwepo maana ikipita mara moja ni sawa na mabasi ya mwendokasi 10.Na upanuzi wa barabara ni mhimu sana maana ukiangalia pale kimara kwenda hukombezi luis hakuna kabisa msongamano sababu barabara ni pana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IIltakiwa iishie bagamoyo sio bunju hata wewe umechemka
 
Sitapata picha vile kutakuwa na foleni wakati wa utekelezaji wake
 
Bila kufika Bunju wametania. Hizi hesabu gani?
 
mapesa wanayo
 
haya mambo ya mwendo kasi ni upuuzi tu, Dar palitakiwa pawe na metro inayozunguka Dar nzima.
 
Hapa wamechemka saaana
 

Attachments

  • Screenshot_20231012-073318_WhatsApp.jpg
    86.2 KB · Views: 2
Serikali Ina watu viraza. Hii posta-boko ni mpango wa muda wa dharula au muda mfupi. Kwa nn wasiishie bunyu sokoni? Au mapinga, au kwa Kerege?

Naamini long term plan ni msata kuzunguka chalinze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…