BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
THREAD CLOSEDWachaga wako serious na maisha. Panda Mbagala uone wamakonde wanavyopiga kelele kama watoto wa chekechea.
Pesa ni muhimu kwakweli, ile root ina watu wengi sana, kwa kero ya huo usafiri ukiutumia mara moja tu hauwezi rudia tena kuutumia. Usafiri gani unapanda ukishuka unatoka umeloana mijasho na nguo zimejikunja kunja. Usafiri wa umma kibongo bongo ni kwa ajili ya watu masikiniWachaga wako serious na maisha. Panda Mbagala uone wamakonde wanavyopiga kelele kama watoto wa chekechea.
Ni kweli kabisaPesa ni muhimu kwakweli, ile root ina watu wengi sana, kwa kero ya huo usafiri ukiutumia mara moja tu hauwezi rudia tena kuutumia. Usafiri gani unapanda ukishuka unatoka umeloana mijasho na nguo zimejikunja kunja. Usafiri wa umma kibongo bongo ni kwa ajili ya watu masikini
Mbona asilimia kubwa ya wanaokaa mbezi sio Wachagga?Wachaga wako serious na maisha. Panda Mbagala uone wamakonde wanavyopiga kelele kama watoto wa chekechea.
Kwahiyo kaka sisi wa mbagala sio civilized??????? Au wewe civilized ni makazi kaka???????Huko ndio wanakokaa civilized citezens wa hii nchi ukitoa masaki na Obey.
Nenda Temeke na mbagala utajua hujui
Sasa robo ni 25%Mbona asilimia kubwa ya wanaokaa mbezi sio Wachagga?
Wachagga ni kama robo tu, wengine ni makabila mengine
Huwa unawatambuaje?Naomba kujua,kwanini kwenye magari ya mwendokasi madereva wengi pamoja na wahudum ni askari na maafisa usalama?
Mkuu jibu swali kama unajua,kama hujui kaa pembeni waje wanaojua nilichouliza watujuze kwanini hawa jamaa huwa wanafanya hizo kazi
Kwa hiyo tuconclude kuwa abiria wa route ya Mbezi ni hoe haeHuo muda wakupigaa story unapata wap wakati uendakoo asubuh ujui km utarudi na chcht ktu au n unarudi mtupu ,na wakt wakurudi piaa unakuta cku nzmaa ujaingiza chcht zaidi yakutoa tu ,,,hzo story utakazopigaa unazitoa wapi au zitauhusu nn wkt upo apechee alolo mkuuu,,,,,km una mahali unapata mia yako au miambili yk mkuu shukuru mkuu,
KUNA WATU WANAISHI CKU ZIENDE KUJIUWA TU NDIO HAWAWEZII ILA MAISHA N MAGUMUU ASIKWAMBIE MTU MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni rahisi sema hii route hata ukianzisha story nao wanajifanya hawapo interestedHivi ni rahisi kuanzisha story na mtu usiemjua?
Ila kwenye bus la watu 100, 25 tu ndio wachaga, 75 makabila mengineSasa robo ni 25%
Kwa makabila 124 ya Tanzania ni wengi sana hao,ina maana kila watu wanne mmoja ni mchaga