Mwendokasi Ruti ya Mwenge - Shekilango imekufa?

Mwendokasi Ruti ya Mwenge - Shekilango imekufa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Naomba ufafanuzi kama Huduma ya mwendokasi Ruti ya Mwenge - Shekilango bado ipo

Ahsante kwa ushirikiano
 
Ruti imekufa baada yakanisa la efatha kuzungusha fenc ya mabati kwenye eneo lao ambapo mwendo kasi ilikuwaa inapaki nakuwekaa kibanda Chao chakukatia tiketii...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom