Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 589
- 1,897
Hivi waha jamaa Muda wote huwa Wana haraka, na je Muda wote huwa wanawahi Jambo Muhimu.
Swali, Je hizi mbio zao wangekua wako serious na maendeleo tungepiga Hatua kubwa sana, Magari ya Serikali yanaongoza kwa kuvunja sheria za Barabarani.
Unakuta Msafara uko Kasi sana Akifika Ofisini achukua simu ana Chati na mchepuko. Pia kwenye mahofisi ya Serikali kazi ya Dakika Kumi utapoteza siku hata 7.
Kazi ya siku Moja ndo utasugua ma miezi na miezi, sa mi huwa nawaza Hawa mbio zote zile barabarani huwa Wana wai nini, na hakuna wanachokimbilia uko waendako.
Soma Pia: Morogoro: Gari la Serikali limegonga na kuua mwanafunzi
Wamekua kama boda boda, atakupita Kasi kwa mwendo wa Hatari, unamkuta mbele kasimama anapiga story anacheka na Vumbi la miguuni au ana cheza Singeli ana Ruka Ruka tu.
Daaa Tanzania Nia hii, Wasomi Tunaowategemea ndo wapumbavu kwanza....