ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Kuna kitu kikubwa sana cha kujifunza ukienda pale Ferry Kigamboni kwenye kivuko kuna uwekazaji umefanyika na Azam yaani unaona kabisa kuna maisha sasa Kigamboni na watanzania wanaishi kwa kutokuwaza kero zilizowahi kuwepo za kivuko yaani vitu class kabisa unakutana navyo.
Pale Ferry kwa wazo liende kwenye sekta tofauti za Serikali wananchi wanapenda huduma nzuri Mfano mwendokasi waende wakaone pale
Pale Ferry kwa wazo liende kwenye sekta tofauti za Serikali wananchi wanapenda huduma nzuri Mfano mwendokasi waende wakaone pale