AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,897
Katika kesi za madai kuna mazingira ya kisheria ambapo mtu anaweza kufungwa kwa madai ama deni, lakini mfungwa huyo wa madai yaani Civil prisoner atagharimikiwa matunzo na anayemfunga(mdai), lakini suala la anapogoma kulipa zipo taratibu za kisheria hufuatwa ili mdai aweze kupata stahiki zake, mfano mali zake zinaweza kuwa attached na kuuzwa ili kupata kiasi anachodaiwa.Nauliza kuna msemo unaoaminiwa sn mtaan kuwa... Deni halmfungi mtu.
Hii imekaaj ndg wanasheria.
Km n kweli je mdaiwa hupewa adhabu gn iwapo akigoma kulipa??
Katika kesi za madai kuna mazingira ya kisheria ambapo mtu anaweza kufungwa kwa madai ama deni, lakini mfungwa huyo wa madai yaani Civil prisoner atagharimikiwa matunzo na anayemfunga(mdai), lakini suala la anapogoma kulipa zipo taratibu za kisheria hufuatwa ili mdai aweze kupata stahiki zake, mfano mali zake zinaweza kuwa attached na kuuzwa ili kupata kiasi anachodaiwa.
Hapana, hilo laweza kufanyika kwa amri ya mahakama na kwa mujibu wa matakwa ya kisheria ila si chaguo tu la mtu.Mimi nina kesi ya madai dhidi ya halmashauri ya wilwyw ya Hai ambayo hukumu ilitolewa na mahakama kuu; je naweza kukamata mali zao ili kukaza hukumu?
Hilo si lengo langu, kama unachokisema ni sahihi, unadhani uwepo wa vipindi vya radio na televisheni vinavyojadili masuala ya kisheria pamoja na vitabu, makala za magezeti na vinginevyo vinaathiri upatikanaji wa wateja kwa watu wenye weledi kama mawakili na wengine wa kada ya taaluma ya sheria?Kwa hiyo unataka watu wasio Wasomi wajifunze na wakijua sisi Wasomi tutapata wapi hela.
Hapana, hilo laweza kufanyika kwa amri ya mahakama na kwa mujibu wa matakwa ya kisheria ila si chaguo tu la mtu
Kimsingi na kisheria mali ya serikali haiwezi kuwa attached kwenye excution of decree( yaani kuwekwa kwenye kukaza hukumu)
Kimsingi na kisheria mali ya serikali haiwezi kuwa attached kwenye excution of decree( yaani kuwekwa kwenye kukaza hukumu)
Hapa nadhani ni wanapokuwa wanadaiana raia kwa raia,je inapokuwa raia anaidai serikali baada ya kuishinda mahakamani inakuwaje kwani sheria za kuishitaki serikali kuu tanzania zinazuia kukamata mali za serikali kuuKatika kesi za madai kuna mazingira ya kisheria ambapo mtu anaweza kufungwa kwa madai ama deni, lakini mfungwa huyo wa madai yaani Civil prisoner atagharimikiwa matunzo na anayemfunga(mdai), lakini suala la anapogoma kulipa zipo taratibu za kisheria hufuatwa ili mdai aweze kupata stahiki zake, mfano mali zake zinaweza kuwa attached na kuuzwa ili kupata kiasi anachodaiwa.
Kisheria, hakuna mahakama yoyote yenye mamlaka ya kukamata mali za serikali ama kufanya jambo lolote linaloendana mfano kuuza, pale ambapo serikali ina kesi na inawajibika kulipa na mdai anataka kukaza hukumu. Hii ni kwa mujibu wa sheria ya mwenendo wa madai dhidi ya serikali yaani Government Proceedings Act. Kifungu cha 16 kifungu kidogo cha 3.Hapa nadhani ni wanapokuwa wanadaiana raia kwa raia,je inapokuwa raia anaidai serikali baada ya kuishinda mahakamani inakuwaje kwani sheria za kuishitaki serikali kuu tanzania zinazuia kukamata mali za serikali kuu