Kwa masikitiko makubwa naomba kulaani vikali kitendo cha Mgombea mwenza wa CHADEMA cha kuwafokea Askari Polisi walipomkumbusha kuwa muda wake wa kampeni kwa siku ya jana umekwisha. Yaani saa 12 jioni.
Kupitia hilo nimeamini hawa watu ustaarabu, hekima, unyenyekevu na ustahimilivu unawashinda sana.
Hii itawagharimu sana katika Uchaguzi huu.
Watanzania hawapendi na hawajazoea vurugu.