Uchaguzi 2020 Mwenendo wa kampeni Uchaguzo 2020

Daisam

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Posts
2,625
Reaction score
3,141
Kwa masikitiko makubwa naomba kulaani vikali kitendo cha Mgombea mwenza wa CHADEMA cha kuwafokea Askari Polisi walipomkumbusha kuwa muda wake wa kampeni kwa siku ya jana umekwisha. Yaani saa 12 jioni.

Kupitia hilo nimeamini hawa watu ustaarabu, hekima, unyenyekevu na ustahimilivu unawashinda sana.

Hii itawagharimu sana katika Uchaguzi huu.

Watanzania hawapendi na hawajazoea vurugu.
 
Kwani ni jukumu la polisi kumkumbusha mgombea kanuni za uchaguzi?

Kazi ya polisi ni kulinda usalama. Baaaaaasi!

Angekuwa ndiyo Magufuli amezidisha muda huyo polisi angethubutu kusogeza hata pua kumkumbusha? Waache uzwazwa.
 
Na je, Magufuli amewahi kuzidisha muda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…