MwanaHaki R I P Joined Oct 17, 2006 Posts 2,401 Reaction score 707 Oct 31, 2010 #1 Binafsi nimeona kwamba vituo vingi vya TV vimekuwa vikitangaza kwa upendeleo, kiasi cha kuifanyia kampeni CCM. Je, mnadhani vituo hivi vimekuwa vikiipendelea CCM kwenye matangazo yake?
Binafsi nimeona kwamba vituo vingi vya TV vimekuwa vikitangaza kwa upendeleo, kiasi cha kuifanyia kampeni CCM. Je, mnadhani vituo hivi vimekuwa vikiipendelea CCM kwenye matangazo yake?
D Dopas JF-Expert Member Joined Aug 14, 2010 Posts 1,151 Reaction score 392 Oct 31, 2010 #2 Karibu vyote kwa asilimia tofauti. TBC asilimia 100 CCM
The Dreamer JF-Expert Member Joined Feb 2, 2009 Posts 1,282 Reaction score 21 Oct 31, 2010 #3 Swali gumu maana vyote vimependelea CCM. Labda swali liwe ni chombo gani KIMEONGOZA katika kuipendelea CCM?
Swali gumu maana vyote vimependelea CCM. Labda swali liwe ni chombo gani KIMEONGOZA katika kuipendelea CCM?
C chigwiye JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 352 Reaction score 59 Oct 31, 2010 #4 Nimeshangazwa sana,all of a sudden hata ITV wametubetray,RAI na Magazeti ya ipp.Nisingeshangaa kwa TBC,ITV!!!! damn it.
Nimeshangazwa sana,all of a sudden hata ITV wametubetray,RAI na Magazeti ya ipp.Nisingeshangaa kwa TBC,ITV!!!! damn it.
Ibrah JF-Expert Member Joined Mar 22, 2007 Posts 2,730 Reaction score 530 Oct 31, 2010 #5 Vituo vyote vinaongoza kuipendelea CCM, sijaona hata kiomoja kilicho fair.
Mnyakatari JF-Expert Member Joined Oct 25, 2010 Posts 2,073 Reaction score 1,862 Oct 31, 2010 #6 Ni vyote wakuu!At least ITV inashika nafasi ya mwisho kwa upendeleo.kwenye kipimo cha 1-10 inachukua namba 6.
Ni vyote wakuu!At least ITV inashika nafasi ya mwisho kwa upendeleo.kwenye kipimo cha 1-10 inachukua namba 6.
mojoki JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 1,313 Reaction score 290 Oct 31, 2010 #7 Mengine ni matangazo ya biashara CCM wana hela mkumbuke...so ITV wanapiga tu na kukusanya mshiko coz wapo kibiashara zaidi ...feel it fish
Mengine ni matangazo ya biashara CCM wana hela mkumbuke...so ITV wanapiga tu na kukusanya mshiko coz wapo kibiashara zaidi ...feel it fish
M mshali Member Joined Oct 25, 2010 Posts 8 Reaction score 0 Oct 31, 2010 #8 TBC1 haswa repoter wa msafara wa Dk slaa kwenye kampeni alikua akipotezea picha kamili ya uwasilia mkusanyiko wa maudhurio ya watu.alikua anaonyesha sehemu hisiyo kuwa na watu wengi.
TBC1 haswa repoter wa msafara wa Dk slaa kwenye kampeni alikua akipotezea picha kamili ya uwasilia mkusanyiko wa maudhurio ya watu.alikua anaonyesha sehemu hisiyo kuwa na watu wengi.
Anfaal JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 1,154 Reaction score 116 Oct 31, 2010 #9 Hapo ungeassign weight katika kila choice. Yaani Very strong, strong etc ingesaidia.