GE2025 Mwenezi CCM, Arumeru: CCM hatujahusika kuwaambia msishiriki Uchaguzi, wanaohamasisha kutoshiriki wamepewa uraia huko nje

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwenezi CCM, Arumeru Magharibi amesema CCM hatujahusika kuwambia msishiriki uchaguzi, wanaohamasisha kutoshiriki wamepewa uraia huko nje.

Your browser is not able to display this video.
 
CCM mnaumia nn watu wasiposhiriki uchafuzi huu? Ninyi mna hofu ya nn wakati mtashinda huu uchafuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…