mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amesema yeyote anayekerwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kusifiwa kwa maendeleo makubwa aliyoyafanya basi mtu huyo siyo mzalendo na achague kukaa kimya kama hana cha kuzungumza.
Jawadu ametoa kauli hiyo Jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo amesisitiza kuwa wanaomsifia Rais ni watu waliokata tamaa na ni watu waliotamani kuona kushindwa kwa Rais Samia katika uongozi wake.
Pia soma > Dodoma: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025