Mwenezi CCM Kenani Kihongosi: Mnafundishwa kuchukia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, acheni hiyo dhambi

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, ametoa onyo kali kwa baadhi ya wananchi na wanasiasa wanaochochea chuki dhidi ya vyombo vya ulinzi na usalama nchini, akitaja kitendo hicho kuwa ni “dhambi” inayopaswa kukomeshwa mara moja.

Akizungumza na wakazi wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Katoro, mkoani Geita leo, Kihongosi amesisitiza kuwa vyombo hivyo, hususan Jeshi la Polisi, ndivyo vimekuwa mhimili mkuu wa amani na utulivu unaofurahiwa na Watanzania wote.

"Mnafundishwa kuchukia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, acheni hiyo dhambi. Wewe unapolala usiku, kuna watu wanakulinda uwe salama. Maduka haya yote yakifungwa saa mbili usiku, kuna watu wanapita na magari ya doria ili vitu vyenu viwe salama. Leo tukisema askari wote nchi nzima waende likizo... kusiwe na Polisi kabisa, itakuwaje?

Your browser is not able to display this video.
 
Huyu nae sijui kwanini anakua hivi, mbona hafanani kabisaa. Lol
 
Kweli kwa mlichokifanya na mnachokifanya mtu mwenye akili timamu asiwachukie surely. Yaan mnatangaza amani huku mmeficha mapanga viunoni mwenu. Tanzania haikua nchi ya kushnda barabarani lakini macomedian wenu wa ulinzi walifanya kweli na badala mngekemea ndo kwanza mnawasifia ati walifanya kazi nzuri. Kwel kuua ni lini ilikuwa kazi nzuri nyie masiemsiem. Damu ya ndugu zetu haitaenda bure na ndio inashinikiza hata yote. HATUTANYAMAZA. Leo sijajikonyaginize bali namjengea kaburi ndugu yangu mlieyemuondolea uhai wake akafa ameshikilia mkate. Leo ndio birthday yake angetimiza 16yrs leo afande jack hutaishi na amani baada ya leo.
 
Tunafundishwa?? You're very stupid, usijitoe ufahamu jeshi la polisi ndo limekuwa mstari wa mbele kufanya uhalifu, kuteka watu, rushwa na kila uchafu
 
 
Kihongosi ni mpumbavu, apuuzwe.
 
Huyu Kihongosi ni kilaza kuelekea uzuzu.
Chombo kinachoua, kinabambika kesi, kinaonea utakipendaje?
 
Na tunavichukia sana na Kila siku tunawaombea mabaya yawakute eboo. Wewe kama unawapenda kwasababu umeshiriki kumwaga damu wapende ila sisi huko tulishanawa. Yaani kukuta askali anagongwa na mie nachukua gongo namalizia kabisa ndo kinachofaa ...mliua na kumwaga damu na sie tuna haki ya kufurahia kumwagika kwa damu zenu
 
Ccm ingekuwa na think tankers ila siyo Butiku na Wasira walitakiwa wakae kitako watathimini hii hali ya kutumia dola kama tawi lao wakidhani inawasaidia kubaki madarakani muda wote.
Ni wakati sahihi kuvunja uhusiano na vyombo vya dola hasa polisi, jwtz na tiss ili wabaki na majukumu yao ya asili na siyo siasa.
Kushindwa kuwaondoa kabisa kwenye siasa watakuja shtuka wanapinduliwa wao na kufutiliwa mbali kwani wameshaonja ladha ya kuwa wanasiasa hivyo watang'ang'ania kubaki humo.
Kihongosi awe anafanya utafiti kabla ya kufungua domi lake lisilo na hoja za maana na bado hajashuhudia pale wananchi wataanza kuwatenga polisi kwenye mambo ya kijamii kama misiba n.k.
 
Sawa Mwenezi ila kama huwa unapitia maoni utagundua kuwa si kazi nyepesi kuifundisha jamii kuuchukia wema.
Tabia ya kutatua tatizo kwa kuassume halipo inasababisha kazi kubwa zaidi ya kulitatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…