Kuna baadhi ya maeneo wagombea wa CHADEMA wameenguliwa lakani wengine wanafurahia mchakato unavyoendeshwa hadi sasa.
=============
Mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Ambrose Ndege, amepongeza mchakato wa uteuzi wa wagombea wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 kwa Wilaya ya Simanjiro kwa majina ya waogembea wao wote kurudishwa ili kuendelea na mchakato wa uchaguzi.