Mwenezi Mjema afanikisha futari kwa watu na makundi mbalimbali Dar

Mwenezi Mjema afanikisha futari kwa watu na makundi mbalimbali Dar

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Edward Mjema kuanzia Jana Alhamisi Aprili 06, 2023 ametoa futari kwa watu na makundi mbalimbali kwenye Jamii kwenye mwendelezo wa Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan.

Mwenezi Mjema kwenye ujumbe wake ameeleza:-

"Tukiwa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan Leo Jijini Dar es Salaam kupitia ofisi ya Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM, tumeweza kutoa FUTARI kwa makundi mbalimbali yakiwemo yale yenye uhitaji.

Kipekee nimshukuru Camel Oil kwa kufanikisha zoezi hili na kuendelea kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan.

Tuutumie mfungo huu, kwa kuendelea kuliombea taifa letu na Viongozi wetu mbalimbali wa Chama na Serikali."

#RamadhanKareem
#VitendoVinaSauti
#KaziIendelee
 

Attachments

  • FB_IMG_1680825971681.jpg
    FB_IMG_1680825971681.jpg
    73.1 KB · Views: 6
  • FB_IMG_1680825974410.jpg
    FB_IMG_1680825974410.jpg
    61.6 KB · Views: 6
  • FB_IMG_1680825987167.jpg
    FB_IMG_1680825987167.jpg
    74.5 KB · Views: 6
  • FB_IMG_1680825991178.jpg
    FB_IMG_1680825991178.jpg
    69.3 KB · Views: 5
  • FB_IMG_1680827688616.jpg
    FB_IMG_1680827688616.jpg
    73.3 KB · Views: 5
  • FB_IMG_1680827694538.jpg
    FB_IMG_1680827694538.jpg
    69.7 KB · Views: 6
Huyu mwenezi kabla ya uchaguzi kufika wawe wamembadilisha anapwaya sn, hana kariba ya uenezi.
 
..Chama cha siasa kitafuturisha watu wangapi, na mara ngapi?

..Tungekuwa na sera nzuri za maendeleo ya watu, na viongozi wawajibikaji ktk kutekeleza sera hizo, wananchi wetu wangekuwa na uwezo wa kujipatia futari wao wenyewe.

..Tujiulize baada ya hiyo futari ni nini hatima ya hao waliofuturishwa?
 
Back
Top Bottom