Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hao wala hawaibiwi maana ccm itawashinda kihalali. Tatizo la ccm kwa sasa ni cdm, sio chauma. Tatizo kubwa kwa sasa ni idadi ndogo ya wapiga kura wataojitokeza.Waongee yote ila wasilalamike kuibiwa kura kwenye uchaguzi.
Yes. Mkakati sasa hiv ni kuiba kura hewa kuongeza idadi ya wapiga kura.Hao wala hawaibiwi maana ccm itawashinda kihalali. Tatizo la ccm kwa sasa ni cdm, sio chauma. Tatizo kubwa kwa sasa ni idadi ndogo ya wapiga kura wataojitokeza.
Chadema HAKUNA chama, bali Kuna wahuni. Wajanja wanakimbia wanabaki wahuni!Lilikuwa ni suala tu la muda
Hao wala hawaibiwi maana ccm itawashinda kihalali. Tatizo la ccm kwa sasa ni cdm, sio chauma. Tatizo kubwa kwa sasa ni idadi ndogo ya wapiga kura wataojitokeza.
Kwa nini wasilalamike?Waongee yote ila wasilalamike kuibiwa kura kwenye uchaguzi.
Alikuwa mgonjwa wa kutengenezwa. Lengo lilikuwa kutengeneza mazingira ya kuweza kumkamata Heche. Bahati mbaya plan yao haikwenda kama walivyokuwa wamepanga.Alishatoka hospital?