MWENGE BSMST special thread

Emhegele

Senior Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
122
Reaction score
6
Share kipengele cha course unayoiweza na m1 inayokutatiza hasa kwa upande wa Mathematics & Statistics na nyinginezo. Usisahau kutoa ushauri ambao unafaa!
 
Vizuri sana ni jambo jema.
USHAURI: Ingekuwa poa sana kama ungeiweka heading yako kama thread special kwa all mwenge students hivyo ndani yake ndio wangekutana wanachuo wa kozi mbalimbali.
With regards mkuu.
 
ahsante mku kwa kunikumbusha jambo la msingi hapa hebu nijaribu kurekebisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…