Mwenge pawekwe mzunguko, ulipowekwa Ubungo foleni ilikwisha

Mwenge pawekwe mzunguko, ulipowekwa Ubungo foleni ilikwisha

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145
Habari WanaJF

Ujenzi unaokaribia kukamilika mwakani wa barabara Mwenge to Morocco itakuwa vyema wakiweka round about badala ya taa.

Hii itapunguza foleni na itaweka nakshi ya mji. Itaondoa na rushwa ndogo ndogo za matrafiki kuvizia wanaowahi taa. Itaongeza umakini na kupunguza ajali.
 
Back
Top Bottom