Cndy kasemb
Member
- Jun 13, 2013
- 6
- 1
Tuliambiwa kuwa Majina ya waliorekebisha fom zao Heslb yatatoka kuanzia tarehe 8.november lakini hadi leo hakuna jina hata moja lililotoka.Kuna vyuo vingine watu wamesain na tayari wameshaingiziwa pesa zao, yoyote mwenye Idea tusaidiane jaman au ndo tumekosa tena mkopo?