Mwenge University

Huyu kichaa mpigamsuli wa wapi huyu? Maana haeleweki ukichek post zake zinachanganya sana, yaan ni kama akili hana vilevile kichaaa pia hana loh!,

Na hauta nielewa mwenge ni chuo nilikuwa kwenye utafiti wa vyuo vya kata kwa kujionea mwenyewe kwa macho yangu kiukweli MWENGE ni chuo cha kata
 
Yaani wewe unakurupuka tu na hiyo research yako ambayo haina mashiko, hizo first class kibao umezionea wapi wewe mtu?
Kwa taarifa yako kuna first class tatu tu, moja ya 4.7 na mbili 4.5,
na zaidi ukitaka ujue product ya Mwenge inafanya nini rudi kafanya utafiki wako ktk mikoa ya arusha, manyara, kilimanjaro, na tanga ukaulize ni chuo gani ambao wanapiga kazi inayoeleweka wakati wa field then utapata jibu. HUSIWE UNAKURUPUKA NA CHUKI BINAFSI KICHWANI. Nyie ndio mnaharibu dhana nzima ya ugreat thinker hapa jamvini, hizo ni akili za facebook. Pyuuuuu
 
siku zote mpigamsuli unaleta ushindani kuonyesha MUCCOBS ni zaidi ya vyuo vingine, inawezakana ikawa hivyo au isiwe hivyo lakini jaribu kupevuka kiakili unapoleta mada za kielimu.
 
Last edited by a moderator:
degree ya education ya mwenge ni sawa na mwanafunzi wa form six tu

Pole yake huyo aliyekuzaa maana amezaa dubwana,sijui umepatikana kupitia kwa wale waganga wa kule Congo?Nailaumu Serikali kupitia Bodi yake ya mikopo kuwapa mikopo bila kuwapima Akili,laiti wangejua wewe unalitia hasara Taifa wasingekupa huo Mkopo wao.:mod:
 
Hiki ni chuo au s/m?,nimeamin ni kama s/m coz kuna jamaa nimexoma nao a-level nilpata 1 pt 5 nilienda udsm(edu)wao walienda mwenge unvsty,nimetoka na gpa ya 3.8 mmoja wao kapga 4.6 .na kwa bahat nzur tumetupwa bush shule za kata jiran,wanafunz wameandamana had kwa mkuu wa shule wakidai jamaa majanga,na sis 2namfahm kichwan hamna kitu.
 
Hiki ni chuo au s/m?,nimeamin ni kama s/m coz kuna jamaa nimexoma nao a-level nilpata 1 pt 5 nilienda udsm(edu)wao walienda mwenge unvsty,nimetoka na gpa ya 3.8 mmoja wao kapga 4.6 .na kwa bahat nzur tumetupwa bush shule za kata jiran,wanafunz wameandamana had kwa mkuu wa shule wakidai jamaa majanga,na sis 2namfahm kichwan hamna kitu.
 

yaani Udsm kwa akili yako hiyo wanakupa 3.8.Basi hapo napo ni majanga,au umeamua kuwazalilisha watu wa UD hapa?kweli hii nchi ni majanga.Haya wewe Kapwela na Udsm yako,shule yako ni ngapi kwa ufaulu kiwilaya na kimkoa hapo tu inatosha na somo lako ni la ngapi kwa ufaulu kwa hizo ngazi mbili hapo juu? alafu watu wanashangaa kiwango cha elimu kushuka kwa hali hii tutegemee nini kama walimu wenyewe ndo hawa wenye akili kama za ngili.:A S-rose:
 

Hahahaha nimeona mwenyewe mafirst class kibaoo chuo kama shule ya msingi
 
leo nimeenda kwenye hiki chuo ninayoyaona ni aibu sana ,nimeenda kwenye noticeboard yao nikakuta matokeo yamebandikwa kwa majina kabisaa ,hizo G.P.Asasa ni hatari ni mafirst class na maupper second tu nimeamini hiki ni chuo cha kata,

duu ndo mana watu wakienda kitaani na gpa zao kali hawaleti changes zozote kwa jamii kwa sababu kichwani hamna kitu,tena matokeo yanabandikwa notice board kama shule,karibuni UDSM tokeo unalikuta kwenye ARIS
 

kweli akili zako zinaendana na jina lako "kipwela" hiyo 1.5 labda ya kusadikika.
 
Hahahaha nimeona mwenyewe mafirst class kibaoo chuo kama shule ya msingi

huo ni unafki kaka, first class ni 3 tu, na mwaka jana zilikuwa 2 tu. Kichwa chako kitakuwa kimepoteza nati ya ubungo wa kutafakari. Si haba
 
Duuh mwenge university bana majanga

nenda kapite kwenye mikoa ambayo mwenge product wanafanya field ndio utapata jibu sahihi.
Na kwa taarifa tu kutoka na achievement ya mwenge SAUT imeamua mwenge isimame kama chuo kamili na sio branch.
 
Wewe sema tu chuo cha kata. Ila tambua ajira ni sawa, mshahara sawa. Pia wewe inaonesha unapinga mapinduzi ya kielimu nchini. Kwa waliomaliza MWUCE 2013 kulikukuwa na first class mbili, mwaka 2012 kulikuwa na first 3, mwaka 2011 kulikuwa na first clas 1.
 
Naona leo unarusha ngumi halafu unairudisha mfukoni!


Halafu anaandika virai tu sijui sentensi zimemuishiaaaa?


hii ndio English yake...

" In my small research which I did around the city,
I found out that bad handwritings of many pupils
are often caused by students writing while sited
on rocks and bending their backs or sitting for a
long time under trees while learning."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…