Mwenge wa Uhuru na uvaaji wa kofia kinyume

tansoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
1,209
Reaction score
580
Mwenge wa uhuru umekuaa ukikimbizwa kila mwaka na kuzinduaa miradi mingi ya maendeleo

JAMBO linalonishangaza ni staili ya uvaaji wa kofia zenye 'kep' kinyume, hapo kuna siri gani
Mwenye kujuaa atujuze
 
Weka picha tujiridhishe kwanza
 
Back
Top Bottom