tansoma JF-Expert Member Joined Jul 25, 2013 Posts 1,209 Reaction score 580 May 16, 2016 #1 Mwenge wa uhuru umekuaa ukikimbizwa kila mwaka na kuzinduaa miradi mingi ya maendeleo JAMBO linalonishangaza ni staili ya uvaaji wa kofia zenye 'kep' kinyume, hapo kuna siri gani Mwenye kujuaa atujuze
Mwenge wa uhuru umekuaa ukikimbizwa kila mwaka na kuzinduaa miradi mingi ya maendeleo JAMBO linalonishangaza ni staili ya uvaaji wa kofia zenye 'kep' kinyume, hapo kuna siri gani Mwenye kujuaa atujuze
cyrustheruler JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 2,044 Reaction score 1,869 Jun 20, 2016 #2 nhahaaaah
S spleen JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 4,079 Reaction score 6,788 Jun 20, 2016 #3 tansoma said: Mwenge wa uhuru umekuaa ukikimbizwa kila mwaka na kuzinduaa miradi mingi ya maendeleo JAMBO linalonishangaza ni staili ya uvaaji wa kofia zenye 'kep' kinyume, hapo kuna siri gani Mwenye kujuaa atujuze Click to expand... Weka picha tujiridhishe kwanza
tansoma said: Mwenge wa uhuru umekuaa ukikimbizwa kila mwaka na kuzinduaa miradi mingi ya maendeleo JAMBO linalonishangaza ni staili ya uvaaji wa kofia zenye 'kep' kinyume, hapo kuna siri gani Mwenye kujuaa atujuze Click to expand... Weka picha tujiridhishe kwanza
Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,404 Reaction score 10,900 Jun 20, 2016 #4 Ili zisipeperushwe na upepo mkuu