Mmhh, mkuu una uhakika na hiki? katika pita pita zangu nimekuta sehemu zinasema upo chini ya Wizara ya Vijana, Utamaduni na Michezo na wanauweka Dodoma, sehemu nyingine wanasema huwa unaoneshwa makumbusho ya taifa lakini hauhifadhiwi humo ila sijakuta sehemu ikisema kuhusu Ikulu. Chanzo gani umetoa hii?HUwa unaifadhiwa ikulu mana mwenge n sawa na rais wa nchi
KahHufichwa kusikojulikana maana unachukiwa sana
Hili tukio lilifanyika Mwaka jana ila sizani kama huwa ni kila mwaka japi nipo tayari kukusolewaBaada ya mwenge kuzimwa hulindwa na kuongozwa na kikosi maalumu cha jeshi la wananchi (jwtz) ukisindikizwa kwenda mlima kilimanjaro..
Safari hii huanza mara moja baada ya kuzimwa na mheshimiwa RAIS wa jamhuri ya muungano wa tanzania..
"nilipokosea, nikosolewe"
Fort knoxHabari za muda huu wanajamvi, naomba msaada kwa anayejua wapi mwenge wa uhuru unapohifadhiwa baada ya mbio za mwenge. Mwanangu wa shule ya msingi alinipiga hili swali jana nikawa napepesa macho tu, shuleni kwao wapo katika topic inayohusiana na mambo ya uhuru wa Tanzania pamoja na mwenge wa uhuru, alijaribu kumuuliza mwalimu wake kuhusu hili naye hakuwa na jibu.
Kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu hili naomba majibu na nitashukuru zaidi kama utaambatisha chanzo rasmi cha taarifa hii. Asanteni
Mkuu Kuna vitu vitatu vyenye umuhinu kwa nchi kiongozi yeyote wa kitafaifa anapaswa kujuaHUwa unaifadhiwa ikulu mana mwenge n sawa na rais wa nchi