Kweli kbs!mwenge ni uchawi wakitumia nishati isiyotoa moshi wataharibu masharti ya mgamga Forojo Ganze.
Naunga mkono hoja, nami niliwahi kuzungumza hiki kitu, Mwenge: Ni Mwanga Tu Au Kuna Uvumba Fulani Unafukizwa Ili Kupumbaza Watanzania? Is it Justified?. humo nilishauri tufanye research ya wakimbiza mwenge wote, walikufa na umri gani na walikufa kwa maginjwa gani?, mtashangaa!. Wakati mbio za mwenge zinabuniwa hatukuwa na nishati safi, lakini sasa tuna methene, haina moshi, tuna propane haina moshi, tuna gesi ile ya kupikia, tuna gesi asili, tena unaweza kukuta kununua vimitungi vidogo vya LNG kuwashia mwenge ni cheaper kuliko sumu ya butane tunaowavutisha vijana wetu mwisho tunakuja kuwaua kwa slow death, by the time wanakufa ni many years after no one remembers walikuwa wakimbiza mwenge!.Bila shaka kichwa cha habari kinajieleza vizuri sana.
Binafsi sina tatizo na falsafa ya uanzishwaji wa mbio za mwenge wa uhuru. Tatizo langu kubwa ni namna wanavyoweza kuathiri afya za wanaoukimbiza.
Nishati inayotumika sio rafiki kwa afya za wanaoukimbiza na hata walio karibu nao mahali unapowasili.
Kama tunavyofanya jitihada za kuzuia matumizi ya kuni na mkaa kwa kupikia, vivyo hivyo tujitahidi kubuni njia mbadala ya kuufanya mwenge wa uhuru uweze kutoa mwanga. Vijana wanateseka sana na moshi.
Naomba kuwasilisha.
View attachment 3058976
Ni ushirikina tupuHuo moshi ndio unaotakiwa sasa, ili ukituingia tuendelee kuwa kondoo.....
Faida za mwenge zipo japo ni chache kulinganisha na hasara.Mwenge una faida gani?
Hivi panya huwa wanakufa kwa ukimwi pia?hahahaha ukitumia nishati mbadala unakua umekiuka masharti ya mganga..... hilo pembe la ng'ombe lazima lipite kila kijiji lisambaze tb nanukimwi muendelee kufa kama panya
Lakini pia suala la kamati za wilaya kupanga aina za miradi itakayokaguliwa na kuzinduliwa na mbio za mwenge; linasababisha kuficha miradi yenye ubadhilifu. Wanakwepa tuhuma za ufisadi na rushwa.Faida za mwenge zipo japo ni chache kulinganisha na hasara.
Mojawapo ya faida ni kutoa fursa kwa wajasiamali kuuza bidhaa zao mahali mwenge utakapokeshea.
Pia unasaidia kutoa ajira kwa vijana wanaoukimbiza.
Falsafa ya mwenge imebeba maudhui mapana kwa taifa. Yaani tunapozungumzia matumaini, upendo na heshima!
Ingawaje, kwa sasa maeneo mengi mwenge umebaki kuwa wa viongozi wa maeneo husika. Hasa mahali ambapo utapita kuzindua miradi.
Labda tupendekeze njia gani itumike kukagua na kuzindua miradi mbalimbali badala ya kusubiri mwenge.
Inasemekana kuwa walioasisi Mwenge ni Wachawi sita nguli ili kuwapumbaza Watanganyika.Kwanini unasema hivyo?