Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
MBUNGE ATUPELE MWAKIBETE ASHIRIKI MBIO ZA MWENGE WA UHURU BUSOKELO, MIRADI MINGI YAZINDULIWA
Mwenge wa Uhuru Umekagua na Kutembelea miradi mbalimbali ya Maendeleo ndani ya Halmashauri ya Busokelo hadi ulikapokabidhiwa Halmashauri ya Mbeya Vijijini Tarehe 30/08/2024.
Mwenge za Uhuru ndani ya Jimbo la Busokelo umepitia miradi mingi iliyotekelezwa;
1. Umeweka jiwe la Msingi Daraja la Ilamba-Ntaba
2. Umetembelea Kikundi cha Vijana Kambasegela
3. Umetembelea Zahanati ya Bwibuka
4. Umezindua Majengo S/M Lupata, Vyoo wa Wasichana na Bweni la Mahitaji Maalum na Klabu ya Mazingira
5. Uzinduzi Mradi wa Maji Kapapa
6. Uzinduzi Shamba la Parachichi Avo House
7. Uzinduzi Zahanati ya Ijoka
8. Uzinduzi Mradi wa Maji Ipelo
Soma Pia: Mwenge wa Uhuru Musoma Vijijini Wazindua Miradi ya Bilioni 3.5