Mwenge wabaini ufisadi wa TZS 65B kwenye miradi 49 ya halmashauri 38 Je, nini kitaendelea?

Vibe
 
Good indeed
 
Wezi wasiachwe kabisa
 
Ufisadi wa kutisha
 
Machadomo yalisema mwenge hauna faida yataufuta,
Bila mwenge tungejuaje wizi wa haya mabilioni,
Yasichaguliwe sera zao ni tatanishi sana
Yaani ni kweli bila mwenge msingeujua huu wizi? Waziri mkuu alikuta kibanda cha mlizinzi jengo la tanesco kimejengwa kwa milioni7, mbona hakuna aliyechukuliwa hatua?
 
Yaani ni kweli bila mwenge msingeujua huu wizi? Waziri mkuu alikuta kibanda cha mlizinzi jengo la tanesco kimejengwa kwa milioni7, mbona hakuna aliyechukuliwa hatua?
Ndio ujue umuhimu wa Mwenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…