Mwenye account ya bolt

Koffi Annan

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2018
Posts
1,771
Reaction score
5,087
Habarini wandugu,

Naomba mwenye account ya bolt na haitumii aje pm tuongee.

Nina ndugu yangu amepata gari ila mwenyewe amegoma kuibadili plate number hivo haiwezekani kuwa na account.

Hivyo naomba ushirikiano kwa mwenye nayo iwe anakodisha au amewiwa kuitoa bure kwa muda kwa kijana.

Asante.
 
Ushapata io account? Ntumie wassap namba ako. Tumalize kazi
 
Kwa sasa bolt wamefanya maboresho itamsumbu sana maana Kila baada ya muda inataka upige selfie ya mwenye account
ndo ioparate...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…