Mwanga Mkali JF-Expert Member Joined Jul 8, 2018 Posts 1,302 Reaction score 2,473 Oct 10, 2022 #1 Salam wakuu Nina project kwenye eneo hilo nahitaji mwenye elimu hiyo tutete. Njoo PM only for the qualified one nje ya hapo usipoteze muda ni swala serious. Mwenye uzoefu wa miaka 2 kwenye ajira husika na kuendelea atafaa zaidi.
Salam wakuu Nina project kwenye eneo hilo nahitaji mwenye elimu hiyo tutete. Njoo PM only for the qualified one nje ya hapo usipoteze muda ni swala serious. Mwenye uzoefu wa miaka 2 kwenye ajira husika na kuendelea atafaa zaidi.
mapesa yamejaa JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 1,412 Reaction score 3,419 Oct 10, 2022 #2 Mshahara milioni ngapi kwa mwezi
Mwanga Mkali JF-Expert Member Joined Jul 8, 2018 Posts 1,302 Reaction score 2,473 Oct 10, 2022 Thread starter #3 mapesa yamejaa said: Mshahara milioni ngapi kwa mwezi Click to expand... Unawaza vitu vidogo hunifahi...
mapesa yamejaa said: Mshahara milioni ngapi kwa mwezi Click to expand... Unawaza vitu vidogo hunifahi...