77Dubaione
New Member
- Oct 12, 2022
- 4
- 7
Mwenye lengo la kuanzisha biashara ya kununua vitu toka nje na kuuza tubadilishane uzoefu. Mimi kuna kipindi nilikuwa nauza karatasi (nanunua na kusafirisha Bongo) ilikuwa nzuri sasa natafuta mawazo mapya.
Tubadilishane uzoefu
Tubadilishane uzoefu