S stem Member Joined Jun 15, 2024 Posts 6 Reaction score 9 Jun 25, 2024 #1 Habari zenu wapendwa naitaji kufahamu mtu mwenye certificate ya lab assistant anaweza kuchukua ordinary diploma ya lab technician pale DIT?
Habari zenu wapendwa naitaji kufahamu mtu mwenye certificate ya lab assistant anaweza kuchukua ordinary diploma ya lab technician pale DIT?
mbuyake JF-Expert Member Joined Feb 20, 2013 Posts 293 Reaction score 510 Jun 26, 2024 #2 Ndio Kama certificate yako umefika Ni NVA level 3:hiyo Ni moja wapo ya entry qualifications japo utaisoma miaka mitatu mingine na lazima uwe na Ds mbili fom 4
Ndio Kama certificate yako umefika Ni NVA level 3:hiyo Ni moja wapo ya entry qualifications japo utaisoma miaka mitatu mingine na lazima uwe na Ds mbili fom 4