Mwenye cheti cha labourbase anahitajika

Mwenye cheti cha labourbase anahitajika

hoter one5

Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
13
Reaction score
15
Habari nahitaji mwenye cheti cha mafunzo ya labourbase tuwasiliane kwa namba hii 0626402722
 
kozi hii inatolewa na vyuo vya MUST, ujenzi moro na ATTI mbeya kozi hizi ni maalum kwa kandarasi za kazi maalum (Specialist contractor) za barabara, zipo za umeme pia na zinaruhusiwa kufanya kazi/tendering worth up to tsh.300mil kwa vikundi, companies, partners zinafaida sana kwa wanaotaka kuondoka kwenye wimbi la jobless kwani hazihitaji mitambo zaidi ya spade, slasher, wheelbarrow, hoes, axes na unakopesheka bank vizuri kwasababu contract ile ya tarura au tanroads inakuwa dhamana yako unavyolipwa nawe unakatwa rejesho.

Kama unaswali nichek 0626 402 722 kama kuna aliye serious aje ninayo inafanya kazi committed kweli not bla bla kama unachet cha labour base pia njoo nikupe njia namna ya kumiliki kampuni yako mimi mwenyewe pia ni consultancy wa kazi za kusajili companies karibu.

0626 402 822 or etj.prof@gmail.com

 
Yupo lakini ameshindwa kukikomboa anadaiwa 150k
 
Je kama unataka uajiriwe vipi nako n kizuri kuwa nacho.... nimeona ada yake ni sh laki nne za kitanzania...

unaweza tupa miongozo zaidi kama una abc za hyo course?
 
Inaonekana hiki cheti ni dili? Tupe abc ili tuingie darasani... maana naona ada yake yake ni laki 4 tu..
 
Je kama unataka uajiriwe vipi nako n kizuri kuwa nacho.... nimeona ada yake ni sh laki nne za kitanzania...

unaweza tupa miongozo zaidi kama una abc za hyo course?
ajira zake zipo ni kwa wale wenye kampuni za specialist contractors tu au cleaning services wanaodeal na gardening tu ila unaweza kujiajiri au kusajiri kampuni yako au sole proprietor
 
Back
Top Bottom