hoter one5
Member
- Jun 5, 2013
- 13
- 15
ajira zake zipo ni kwa wale wenye kampuni za specialist contractors tu au cleaning services wanaodeal na gardening tu ila unaweza kujiajiri au kusajiri kampuni yako au sole proprietorJe kama unataka uajiriwe vipi nako n kizuri kuwa nacho.... nimeona ada yake ni sh laki nne za kitanzania...
unaweza tupa miongozo zaidi kama una abc za hyo course?