Mwenye clip ya Kibwana Shomari akilamba nyasi.

Mwenye clip ya Kibwana Shomari akilamba nyasi.

Nilijua nimeona mm tu ile aibu. Kumbe Dunia nzima
 
Na Aziz kii pia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Job nae alikalia makalio chini ndiiiiiii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanasingizia mvua wakati walimfunga Monastir kukiwa na mvua
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanasingizia mvua wakati walimfunga Monastir kukiwa na mvua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan janaa full vituko,
Wachezaji wanazungushwa tyuuh km midoll.
Lol
 
Tusisahau na matobo wamepigwa na pasi za visigino. Kimsingi Yanga wamekumbushwa wao si kitu
 
Mwenye hiyo clip naiomba sana aiweke humu. Ile ilikuwa zaidi ya chenga aisee.
20230529_192343.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanasingizia mvua wakati walimfunga Monastir kukiwa na mvua
Mnyama alimuua Wydad kwenye mvua.

Back in 2001, mnyama alimuua Ismailia ya Misri 2-0 kwenye mvua pale uwanja wa uhuru, magoli ya Joseph Kaniki Golotha.

Waache visingizio Uto.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom