Mwenye hiyo clip naiomba sana aiweke humu. Ile ilikuwa zaidi ya chenga aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan janaa full vituko,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanasingizia mvua wakati walimfunga Monastir kukiwa na mvua
Mwenye hiyo clip naiomba sana aiweke humu. Ile ilikuwa zaidi ya chenga aisee.
Eti ndiiiπππππNa Aziz kii pia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Job nae alikalia makalio chini ndiiiiiii
Ndiwooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti ndiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnyama alimuua Wydad kwenye mvua.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanasingizia mvua wakati walimfunga Monastir kukiwa na mvua
Clip mie nilipoteza kabla ya kudownload aaah afu kila nikitafuta kile kipande sikipati mtandaonClip siwezi kupata?