Wakuu
Mimi ni muhtimu wa kidato cha nne mwaka 2019 na ufaulu wa dalaja la pili alama 19,sikuendelea na shule kutokana na changamoto za kifedha.
Wakuu,nipo chini ya miguu yenu kuwaomba kati katika mashirika binafsi tajwa hapo juu!
Hata cheo tu cha chini kulingana na elimu yangu kinatosha.
Najua humu kuna wakurugenzi,na wafanyakazi wa vyeo vya juu katika mashirika hayo naombeni mnishike mkono mwenzenu yamenifika shingoni
Kama una connection yeyote tuwasiliane pm
Nitaleta mrejesho nikifanikiwa kupata kazi.
Cc.
ngara23