Mwenye contact za Dr Louis Shika anisaidie

Mwenye contact za Dr Louis Shika anisaidie

Kuna wadada wako serious na no za shika .kuna Dada kila siku anauliza sasa shika atakuwa na wangapi?
 
amemaliza mwaka huu nadhan ijumaa anagraduate !i knw him !ni kichwa haswa huyu dogo@Lasway.jr
Niko serious nazihitaji kweli, nataka kutengeneza nae tangazo la masuala ya irrigation , ooh ukiweka drip itapendeza ..... Weka na green house itapendeza zaidi mjini akili
 
Back
Top Bottom