Mwenye Copy ya Barua ya POSA

Mwenye Copy ya Barua ya POSA

Mimi ninayo ila inawafaa zaidi Waislam. Je wewe itakufaa? Kama ndio njoo inbox!
 
Heshima kwenu wana jf

Msaada wenu mwenye copy ya Barua ya POSA anitumie tafadhari..

Muhimu sana

hata hili tunagoogle na kuomba msaada kitu ambacho ni too traditionally yaani hakina format yoyot hata mtoto wa chekechea anaweza kuipiga vizri tu.. Yaani Mtaani kwenu hakuna wazee, au watu wakubwa wa kukuongoza?

Kweli kucheza pool siyo mchezo mzuri..

Barua ya Posa inatafutwa mtandaoni? Man.....
 
Hahahaha lol umenikumbusha aisee wakati naenda kumposa wife ukiandika mkuu ambatanisha na kiasi chochote cha fedha mie niliweka 50k tukakaribishwa gonga vyuku kwa sana nini sahv we are happily married and blessed with one beautiful girl called praise
 
Heshima kwenu wana jf

Msaada wenu mwenye copy ya Barua ya POSA anitumie tafadhari..

Muhimu sana
Dah, mkuu copy za namna hiyo huwa hazipo.Lakini mbona ni rahisi sana ku-draft mkuu. Fanya mwenyewe bwana,usitutie aibu wanaume aisee. Mabinti wanakusoma ujue!Hivi jamani shule haikusaidia hata kidogo,mm.
 
hata hili tunagoogle na kuomba msaada kitu ambacho ni too traditionally yaani hakina format yoyot hata mtoto wa chekechea anaweza kuipiga vizri tu.. Yaani Mtaani kwenu hakuna wazee, au watu wakubwa wa kukuongoza?

Kweli kucheza pool siyo mchezo mzuri..

Barua ya Posa inatafutwa mtandaoni? Man.....
aah.. Ko mtandaoni ndo zinapo patikana
 
Dah, mkuu copy za namna hiyo huwa hazipo.Lakini mbona ni rahisi sana ku-draft mkuu. Fanya mwenyewe bwana,usitutie aibu wanaume aisee. Mabinti wanakusoma ujue!
cjui wanaanzaje kuandka
 
Back
Top Bottom