Siku hizi pesa inakamilisha mchongo wote.cjaandika bado Mkuu
hahaha..Tulipokuwa chuo kuna kitu tulikuwa tunaita kibomu (kikaratasi kidogo chenye majibu unaingia nacho kwenye mtihani).... Nimecheka kidogo maana nimeona kama jamaa anataka kibomu ya barua ya posa..... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Is this you??? Au imekuwa hacked???
Its me shemela.Is this you??? Au imekuwa hacked???
Mkuu naomba nitumie mie hiyo barua nina ihitaji vibaya mno. Whatsap 0655646568Mimi ninayo ila inawafaa zaidi Waislam. Je wewe itakufaa? Kama ndio njoo inbox!
Hii inamaanisha ulishaanza "kum'bomoa" binti wa watu kabla alooo!!Ngoja tuitunge hapa hapa live!
Kwa familia ya Bwana na Bibi XYZ.
Ninayofuraha kuwaandikia barua hii nikileta maombi ya kumposa binti yenu ABC XYZ.
Hili limekuja baada ya jitihadi za muda mrefu za kutafuta mwenza wa maisha. Baada ya zoezi hili kukwama kwa kutumia nguvu zangu mwenyewe, nilionelea vyema kumshirikisha mwenyezi Mungu kwa njia ya sala na maombi. Na hatimaye Mungu amesikia maombi yangu na kunikutanisha na binti yenu huyu.
Katika kipindi ambacho tumefahamiana, tumeweza kushirikana na kusaidiana katika mambo mbali mbali ya kiuchumi, kijamii na kadhalika na tumeona tunapofanya mambo haya kwa pamoja tunakuwa na baraka tele na mafanikio.
Tumeweza kutatuta changamoto ndogo ndogo zinazotukabili kwa kuunganisha nguvu zetu. Kwa kweli kiwango cha urafiki wetu kimekuwa cha hali ya juu kiasa kwamba tunaona hatuwezi kuishi mbali mbali na hivyo kuonelea vyema kufunga ndoa takatifu ili tuweze kuishi pamoja katika maisha ya shida na raha, ugonjwa na uzima na hadi hapo kifo kitakapotutenganisha.
Hivyo ninaleta ombi langu mnipokee kama mtoto wenu na kunipa baraka zenu katika kumposa binti yenu na hatimaye kufunga naye ndoa siku za hivi karibuni.
Basi mtakapoitikia wito huu ninaomba kujulishwa taratibu za kufuata ikiwa ni pamoja na kupangiwa kiwango cha mahari ili niweze kuzikamilisha taratibu hizo panapo majaaliwa!
Wenu
DDA
Its obvious! 99% ya wanaoafiki kuona wanakuwa wamesha njunjana! πππHii inamaanisha ulishaanza "kum'bomoa" binti wa watu kabla alooo!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii inamaanisha ulishaanza "kum'bomoa" binti wa watu kabla alooo!!
Afadhali umetoa mwongozo mkuu!Ngoja tuitunge hapa hapa live!
Kwa familia ya Bwana na Bibi XYZ.
Ninayofuraha kuwaandikia barua hii nikileta maombi ya kumposa binti yenu ABC XYZ.
Hili limekuja baada ya jitihadi za muda mrefu za kutafuta mwenza wa maisha. Baada ya zoezi hili kukwama kwa kutumia nguvu zangu mwenyewe, nilionelea vyema kumshirikisha mwenyezi Mungu kwa njia ya sala na maombi. Na hatimaye Mungu amesikia maombi yangu na kunikutanisha na binti yenu huyu.
Katika kipindi ambacho tumefahamiana, tumeweza kushirikana na kusaidiana katika mambo mbali mbali ya kiuchumi, kijamii na kadhalika na tumeona tunapofanya mambo haya kwa pamoja tunakuwa na baraka tele na mafanikio.
Tumeweza kutatuta changamoto ndogo ndogo zinazotukabili kwa kuunganisha nguvu zetu. Kwa kweli kiwango cha urafiki wetu kimekuwa cha hali ya juu kiasa kwamba tunaona hatuwezi kuishi mbali mbali na hivyo kuonelea vyema kufunga ndoa takatifu ili tuweze kuishi pamoja katika maisha ya shida na raha, ugonjwa na uzima na hadi hapo kifo kitakapotutenganisha.
Hivyo ninaleta ombi langu mnipokee kama mtoto wenu na kunipa baraka zenu katika kumposa binti yenu na hatimaye kufunga naye ndoa siku za hivi karibuni.
Basi mtakapoitikia wito huu ninaomba kujulishwa taratibu za kufuata ikiwa ni pamoja na kupangiwa kiwango cha mahari ili niweze kuzikamilisha taratibu hizo panapo majaaliwa!
Wenu
DDA
nimepata mwongozo MkuuNgoja tuitunge hapa hapa live!

Umetisha mkuu,Ngoja tuitunge hapa hapa live!

Bado unaishi na mke wako?Hahahaha lol umenikumbusha aisee wakati naenda kumposa wife ukiandika mkuu ambatanisha na kiasi chochote cha fedha mie niliweka 50k tukakaribishwa gonga vyuku kwa sana nini sahv we are happily married and blessed with one beautiful girl called praise