Mkuu nimewahi kufanya kazi kwenye depot ya soda, iko hivi ukitaka wakuletee soda ila kreti tupu unazo basi wanakuuzia 9400/=halafu wewe utauza 9800/=ila kama hauna kreti tupu kabisa basi wanakuuzia 10000/= na kreti tayari zinakuwa ni za kwako jumla.
Tofauti na ukitafuta kwa mtu akuuzie kreti na chupa zake utaingia gharama kubwa, ila kama mfuko unarusu basi huna baya mkuu