Mwenye cv ya Bob juniour aitiririshe hapa.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Kazaliwa lini,wapi,elimu yake,ni kabila gani pia dini yake kama ikiwezekana.
 
ana Masters of Eng alizaliwa mwaka 1981
 
Ni yule anayekata mauno?....
Kama ni yule anashahada ya kukata mauno amepata katika chuo cha sanaa Bagamoyo.
 
Ni yule anayekata mauno?....
Kama ni yule anashahada ya kukata mauno amepata katika chuo cha sanaa Bagamoyo.

duh!!mkuu,una ugomvi nae au?
 
shombe shombe baby,masharobaro ndio mababi wa mjini,ni heli unipe 50 kuliko 100 mbovu,basi nikiss nichumu mwaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
yule mkata mauno?...sio GASHO kweli?
 
Are u serious?unajua maana ya cv wewe?
 
Kazaliwa lini,wapi,elimu yake,ni kabila gani pia dini yake kama ikiwezekana.

Jamaa kazaliwa hospitalini, Boko-Dsm, darasa la saba, ni mzaramo, muslamu jina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…