Mwenye CV ya Charles Kitwanga (Kipengele cha Education) anipe

Status
Not open for further replies.

kama usingekuwa na majungu ungeyaleta haya hapa?
 

Inawezekana umeshajibiwa; binafsi sijui tabia yake binafsi kwa vile sijaonana naye kwa karibu miaka 20 sasa, ila ninajua background yake kileimu, kama ulivyoulza. jamaa huyu aligraduate UDSM mwaka 1988 na B.Sc kwenye mathematics akiwa na major ya computer science. Baada ya hapo akaajiriwa na BoT kwa vile alikuwa mchezaji mzuri wa basketball. Akiwa mfanyakazi wa BoT likwenda kusoma masters in information systems University of Sussex mwaka 1992. Mara baada ya kurudi tuliwahi kukutana mara kadhaa akiwa anafanya kazi section ya Computers hapo BoT ambako baadaye nasikia alipanda ngazi hadi kufikia kuwa Director. Kwa hiyo CV yake ni clean kabisa ingawa tabia yake baada ya kuwa madarakani inaweza ikawa na madoa (siijui).

Jambo ambalo sielewi ni kwa nini alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa ERB wakati hana background yoyote ya engineering. Ninashindwa pia kuelewa ilikuwaje na yeye mwenyewe akawa registered kuwa engineer wakati digrii yake ya information systems haikidhi kabisa mahitaji ya engineering profession. Majengo kuwa yanaanguka ni kutokana na bodi ya engineering kuzembea hadi kufikia watu kama Manyanya kuwa registered kama mainjinia, na nadhani hata Kitwanga naye technically sasa yuko registered kuwa injinia.
 

Mkuu ni ERB au CRB?
 
Mkuu ni ERB au CRB?

Nimesoma post za huko nyuma zikionyesha kuwa alikuwa mwenyekiti wa ERB, ndiyo maana nikashangaa; binafsi sijaonana naye tangu mwaka 1993. Alikuwa mtu mwungwana sana wakati huo na bado nina image hiyo. Nimeshangaa kusoma posts hapa zinazoonyesha kuwa ni monster.
 
Kila kiongozi TZ ni mla rushwa. Ila sema huyu jamaa mi namfahamu ni mchapa kazi na ni mtu mwenye vision. Pia hapendi majungu yeye anakupa live ukikosea na ni mbabe fulani.
 
'Apparently', CCM wote ni monsters, na ukikanusha utasikia utakavyomwagiwa tindikali.

 
Kila kiongozi TZ ni mla rushwa. Ila sema huyu jamaa mi namfahamu ni mchapa kazi na ni mtu mwenye vision. Pia hapendi majungu yeye anakupa live ukikosea na ni mbabe fulani.

si ndo huyu walikuwa wizara moja na nundu kwenye sakata la ccc?? Nafikiri jibu lilipatikana baada ya riport ya kamati na cag. Watetezi wake njooni bathi.
 

Mkuu umetisha, thread ya mwaka 2010, leo tunaona impact yake!
 
Kweli JF ni kisima cha habari...huyu Kitwanga wanaosema analipwa mara mbili kumbe alishajadiliwa humu toka 2010?
 
Huyu jamaa namkubali sana i knew him well hata kabla hajawa waziri yupo vizuri sana hajaingia katika uwaziri kwa sababu ya njaa God bless him
 
Pasco leo unaweza kuyarudia maneno yako haya?
 
chadema kila mtu bungeni ameenda na ukoo wake , hasa hasa wakina ndesamburo, mbowe nk. kila mtu ametoa viti maalum kwa watoto wake, wakwe, wajomba n. Hiki ni chama cha siasa kweli au kikabila? kweli 'kila mtu na wake kwa chadema'
Hivi bado upo?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…