Mwenye CV ya Charles Kitwanga (Kipengele cha Education) anipe

Status
Not open for further replies.
Dah,kweli jf ni kisima cha elimu.huyu jamaa anasemekana ana undugu na magufuli ndiyo maana akapewa wizara nyeti.
 



keybord yako kuna baadhi ya herufi hamna nini? hueleweki.
 



hapa kuna ka ukweli haifai kupuuzwa toka 2010 paangaliwe kwa umakini sana jpm vuta shuka raia washang'amua.
 
Naomba kujua Tu,kwa nini anaitwa mawe matatu?
 
Sina hakika kama infosys IPS wana hali mbaya. Ila ninachofahamu ni kuwa kampuni ile ilikuwa na uongozi mbovu. Kitwanga kama board member na shareholder alijitahidi sana kujaribu kuweka mambo sawa ila kuna moja ya mkurugenzi aliacha kazi kuja kusimamia kampuni ndiye aliyeharibu sana sana. Naamini kampuni ile ingekuwa chini ya Kitwanga inawezekana ingefanya vizuri.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…